Mwongozo
Jifunze kutumia Famasia
Video fupi za mwongozo zinazokuonyesha kila kitu, kutoka kuingiza stoki hadi kusoma ripoti za mauzo. Tazama bure, kwa Kiswahili.
Anza hapa
Hatua za kwanza na Famasia
Video fupi za kukusaidia kuanza ndani ya dakika chache.
Maktaba ya video
Mwongozo wa hatua kwa hatua
Tazama jinsi ya kutumia kila kipengele cha Famasia, kutoka stoo hadi ripoti.
Pakua sasa.
Famasia inapatikana kwenye iPhone na Android. Pakua bure leo, anza ndani ya dakika moja.
Pakua bure
Famasia
iPhone, Android, na kompyuta: kiungo kimoja, kinachojua kifaa chako
Au tembelea console.famasia.app kutoka kompyuta yako, au jaribu demo bila kujisajili.









