Kisheria
Sera ya Vidakuzi
Famasia hutumia idadi ndogo ya vidakuzi kuendesha huduma zake. Ukurasa huu unaeleza kila mmoja na kusudi lake.
Imesasishwa mara ya mwisho: 2026-04-20
Vidakuzi ni nini?
Vidakuzi (“cookies”) ni maandishi madogo ambayo tovuti huhifadhi kwenye kivinjari chako ili kukumbuka taarifa za muda mfupi — mfano, kwamba umeingia kwenye akaunti yako.
Tunatumia vidakuzi vipi?
Muhimu — kuendesha huduma
famasia_token— tokeni ya uthibitisho (JWT), huisha dakika 15. Bila hii huwezi kuingia.famasia_refresh_token— tokeni ya kuongezewa, huisha siku 7. Hukuwezesha kukaa umeingia bila kuweka PIN mara kwa mara.famasia_admin_token/famasia_admin_refresh— sawa na hapo juu lakini kwa paneli ya admin.famasia_device_id— kitambulisho cha kifaa, huisha mwaka 1. Hutusaidia kugundua kifaa kipya na kuomba OTP ya usalama.
Vidakuzi vyote hivi vimewekwa kwa Domain=.famasia.app, HttpOnly, Secure, na SameSite=Lax. Haziwezi kusomwa na JavaScript kutoka tovuti nyingine.
Matangazo / uchambuzi
Hatutumii vidakuzi vya matangazo wala tracking za wahusika wa nje. Famasia haiweki Google Analytics, Facebook Pixel, au zana nyingine zinazofuatilia shughuli zako nje ya tovuti yetu.
Kufuta vidakuzi
Unaweza kufuta vidakuzi vya Famasia kupitia mipangilio ya kivinjari chako wakati wowote. Kumbuka: ukifuta famasia_tokenutahitaji kuingia tena.
Kujitoa
Kwa kuwa vidakuzi vyote tunavyotumia ni muhimu kwa utendakazi wa huduma, hatutoi chaguo la “kutojitumia vidakuzi”. Ukizima vidakuzi kabisa kutoka mipangilio ya kivinjari, huwezi kuingia kwenye akaunti yako.
Wasiliana nasi
Maswali? Tuma email hello@famasia.app.